The Secretary - Office of the President, Public Service Employment Secretariat would like to announce to all job applicants for Teaching Cadres who have been called for an interview through the announcement to be called for an interview on October 15, 2024 that the interview has been suspended for the time being until further notice.
Katibu - Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu ambao wameitwa kwenye usaili kupitia tangazo la kuitwa kwenye usaili la tarehe 15 Oktoba, 2024 kuwa usaili huo umesitishwa kwa sasa mpaka hapo mtakapojulishwa tena
0 Comments